Skip to content
Opens in a new window
Awamu ya marudiano kufuzu klabu bingwa Afrika, Tuzo za Ballon d'Or 2026
12 September 2026

Awamu ya marudiano kufuzu klabu bingwa Afrika, Tuzo za Ballon d'Or 2026

Jukwaa la Michezo

About

Raundi ya kwanza ya kufuzu klabu bingwa Afrika yatamatika, Inaki Williams astaafu soka la kimataifa, yaliyojadiliwa kwenye kongamano la tatu la Sportsbiz Afrika, moto wa Olympiki kuelekea Olimpiki ya Dakar wawashwa, FIFA yapuuza madai ya Morocco kuandaa Kombe la Dunia la 2030, waafrika waliotajwa kwenye orodha ya tuzo za Ballon d'Or, Ufaransa yajiondoa kumuunga mkono Infantino kuchaguliwa urais tena na fainali za US Open.