08 August 2026
Historia yaandikwa DRC kwa kuendeshwa baiskeli, ustadi wa tafsiri ya lugha
Changu Chako, Chako Changu
About
Makala hii imeangazia mwanariadha na mwendesha baiskeli mashuhuri Miguel Masaisai alivyoandikisha historia kwa kusafiri na baiskeli yake kwa muda wa miezi mitatu kutoka Goma hadi mjini Kinshasa, zaidi ya kilomita 2500 kupeleka ujumbe wa amani, na pia ustadi wa tafsiri ya lugha mbali mbali, katika mikutano ya kimataifa inayofanyika sehemu kadhaa dunianiĀ