Skip to content
Opens in a new window
Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026
23 August 2026

Changu Chako: Historia ya waswahili wa Burundi katika harakati za Uhuru agost 23 2026

Changu Chako, Chako Changu

About

Karibu katika Makala changu chako chako change, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya historia ya waswahili wa Burundi na kwenye muziki nitakuletea mwanamuziki Lady Jay D. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu.

 Nifuatilie @billybilali