30 August 2026
Changu chako historia ya waswahili wa Burundi harakati za kumtambuwa mswahili sehemu ya 3 Agost 30
Changu Chako, Chako Changu
About
Karibu katika makala changu chako chako chako changu Jumapili ya leo nakuletea sehemu ya 3 na ya mwisho ya historia ya waswahili wa Burundi, ambapo sehemu ya mwisho mgeni wetu atatueleza harakati za kumtambuwa mswahili wa Burundi
Na kwenye Muziki nitakuletea Mwanamuzi nguli wa miondoko ya Contry kutoka nchini Marekani Dolly Parton ambae amefariki dunia juma hili. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama karibu.
Nifuate kwenye mitandao ya kijamii @billybilali