
28 February 2026
Changu ChakO chako Changu waigizaji kutoka Mombasa wachangamkia fursa sehemu ya pili
Changu Chako, Chako Changu
About
Waigizaji wa filamu kutoka nchini Mombasa wachangamkia fursa kwa kuwezeshwa na kituo cha utamaduni wa Ufaransa Allaince Francaise ya Mombasa. Huyu hapa ni Lina Sande mmoja wapo tuliekutana naye katika ziara yetu huko Mombasa.
Kumbuka pia kunifuata kwa kubonyeza hapa @billy bilali