Changu Chako Chako Changu historia ya ngome ya Yesu Mombasa March 8
08 March 2026

Changu Chako Chako Changu historia ya ngome ya Yesu Mombasa March 8

Changu Chako, Chako Changu

About

Katika makala yetu ya leo Jumapili mtangazaji wako  Ali Bilali anatupeleka Mombasa Pwani ya Kenya kuskiliza historia ya Ngome Kongwe pamoja na ile ya ngome ya Yesu ama fort Jesus.

Kumbuka pia kumfuatilia kwa kubonyeza @billy bilalihttps://www.facebook.com/billy.bilali.9