Changu Chako Chako Changu fursa ya kujifunza lugha za kigeni Feb 22 2026
22 February 2026

Changu Chako Chako Changu fursa ya kujifunza lugha za kigeni Feb 22 2026

Changu Chako, Chako Changu

About

Karibu katika Makala haya Changu chako Chako Changu jumapili ya leo ambapo tumejikita zaidi katika swala la kujifunza lugha za kigeni kama Fursa. Nitakuletea pia mwanamuziki kutoka Mombasa Chikuzee, Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, nikukatibishe Karibu. Ama Bienvenue. 

Nifuate pia @billy bilali